Bunge Logo
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Bunge la Tanzania

SPIKA ZUNGU AKUTANA NA KATIBU MKUU WA FP-ICGLR JIJINI DODOMA.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi Wanachama wa Ukanda wa Maziwa Makuu (FP-ICGLR), Mhe. Balozi. Dkt. Deo Mwapinga akiambatana na ujumbe wake, walipomtembelea tarehe 29 Januari, 2026 Ofisini kwake Bungeni, Jijini Dodoma.

4
Feb 26
4
Feb 26
4
Feb 26
4
Feb 26
4
Feb 26