Parliament of Tanzania

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Ms. Nenelwa J. Mwihambi

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Timu ya Kamba ya wanaume ya Bunge ikiivuta timu ya Wizara ya Ujenzi na kuishinda kwa pointi 1-0 wakati wa michezo ya SHIMIWI inayoendelea Mkoani Iringa. Timu ya Kamba ya wanawake ya Bunge ikiivuta timu ya Wizara ya Utamadani, Sanaa na Michezo na kuibuka na ushindi wa pointi 2-0 wakati wa michezo ya SHIMIWI inayoendelea Mkoani Iringa. Mchezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Bunge, Ndg. Onesmo Laulau akimtoka mchezaji wa timu ya Wizara ya Nishati wakati wa michezo ya SHIMIWI inayoendelea Mkoani Iringa, mchezo uliomalizaika kwa timu ya Bunge kuibuka na ushindi wa magoli 3 -1. Mchezaji wa timu ya netiboli ya Bunge, Ndg. Lweli Lupondo akifunga goli mbele ya wachezaji wa timu ya Maadili wakati wa michezo ya SHIMIWI inayoendelea Mkoani Iringa, mchezo uliomalizika kwa timu ya Bunge kuibuka na ushindi wa magoli 44 -2. Katibu wa Bunge Ndg. Nenelwa Mwihambi (Ndc) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Bunge (wanawake) mbele ya ukumbi wa Msekwa, Bungeni  Dodoma. Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Utawala na Rasilimali watu Ndg. Triphonia Mng'ong'o akimkaribisha  Katibu  wa Bunge Ndg. Nenelwa Mwihambi (Ndc) kufungua Mafunzo ya siku mbili kwaajili ya watumishi wa Bunge, ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Katibu wa Bunge Ndg. Nenelwa Mwihambi (Ndc) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Bunge (wanaume) mbele ya ukumbi wa Msekwa, Bungeni  Dodoma. Katibu wa Bunge Ndg. Nenelwa Mwihambi (Ndc) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa watumishi wa Bunge (wakurugenzi na wakurugenzi wasaidizi) mbele ya ukumbi wa Msekwa, Bungeni  Dodoma. Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) tarehe 07 Septemba 2023, ukumbi wa Msekwa Bungeni Dodoma. Waheshimiwa Wabunge wakichuana vikali na Watumishi wa Ofisi ya Bunge katika mchezo wa draft wakati wa NMB Bunge Bonanza iliyofanyika leo tarehe 2 Septemba, 2023 katika viwanja vya Shule ya Sekondari John Merlin Jijini Dodoma.

Bunge Laahirishwa Hadi Oktoba 31, 2023

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb).

Naibu Spika Atoa Wito Kwa Wakuu Wa Nchi Za Maz ...

Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu (Mb), akifungua kwa niaba ya ...

Kamati Za Kudumu Za Bunge Katika Vikao Jijini Dod ...

Kamati za Kudumu za Buge zimeanza kukutana Jijini Dodoma kabla ya Mkutano wa Kum ...

Watumishi Wa Bunge Wawasili Mkoa Wa Lindi Kutoa El ...

Watumishi wa Bunge wamewasili Mkoa wa Lindi tarehe 31 Julai na kupokelewa na ofi ...

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 4) Bill, 2023 First reading Download
The Legal Sector Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2023 First reading Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 3) Bill, 2023 Passed Download
The Finance Bill, 2023 Passed Download
The Laws Revision (Miscellaneous Amendments) Bill, 2023. Passed Download
Details Options
Click Here for More What's On
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUAHIRISHA MKUTANO WA 12 WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 8 SEPTEMBA, 2023 JIJINI DODOMA Download
​HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2022​ Download
MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2023/24 Download
​ HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI TAARIFA YA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KWA MWAKA 2022 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2023/24 Download
​​MAONI YA KAMATI YA PAMOJA KUHUSU AZIMIO LA BUNGE KURIDHIA MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA SERIKALI YA DUBAI KUHUSU USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA KIJAMII KWA AJILI YA UENDELEZAJI NA UBORESHAJI WA UTENDAJI KAZI WA BANDARI T Download

Education And Outreach

EDUCATION

Quick Links