Bunge Logo
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Bunge la Tanzania

NAIBU SPIKA SILLO AKUTANA NA KATIBU MKUU WA FP-ICGLR JIJINI DODOMA.

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Daniel Baran Sillo (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi Wanachama wa Ukanda wa Maziwa Makuu (FP-ICGLR), Mhe. Balozi. Dkt. Deo Mwapinga, alipomtembelea tarehe 30 Januari, 2026 Ofisini kwake Bungeni, Jijini Dodoma.

4
Feb 26
4
Feb 26
4
Feb 26
4
Feb 26
4
Feb 26