Parliament of Tanzania

WABUNGE WATEULE WAANZA KUSAJILIWA MJINI DODOMA

Zoezi hili la usajili wa Wabunge wateule litafayika kwa siku tatu kuanzia tarehe 13-15 Novemba 2015.
Aidha mara ya baada ya zoezi la usajili kumalizika Wabunge wateule watapata briefing kuhusu shughuli za Bunge pamoja na kutembezwa katika maeneo mbalimbali ya Bunge tarehe 16 Novemba, 2015.
Mkutano rasmi wa kwanza wa Bunge la kumi na Moja ambao utaanza tarehe 17 Novemba kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu za Bunge Toleo la April, 2013 kanuni ya 23 (1); Shughuli za Mkutano wa Kwanza wa Bunge jipya ni:
• Uchaguzi na Kiapo kwa Mhe. Spika;
• Kiapo cha Uaminifu kwa Wabunge wote;
• Hoja ya Kuthibitisha Uteuzi wa Waziri Mkuu;
• Uchaguzi wa Naibu Spika
• Ufunguzi Rasmi wa Bunge Jipya utakaofanywa na Mhe. Rais

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Ms. Nenelwa J. Mwihambi

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's