United Republic of Tanzania
Parliament of Tanzania
Kufuatia uteuzi wa Wabunge katika kamati za Kudumu za Bunge uliofanywa
na Mhe. Spika, Mhe. Job Ndugai, alhamisi tarehe 21 Januari 2016, kamati hizo za
Bunge zilishiriki katika uchaguzi wa kuchagua Wenyeviti na Makamu wenyeviti wa
Kamati za hizo na matokeo ya uchaguzi huo ni kama ifuatavyo:
|
NA |
KAMATI |
NAFASI |
JINA |
|
1 |
Hesabu za Serikali
(PAC) |
1.
Mwenyekiti |
Uchaguzi haujafanyika |
|
2.
M/Mwenyekiti |
Mhe. Aeshi Khalfan
Hilary |
||
|
2 |
Hesabu za Serikali za
Mitaa (LAAC) |
1.
Mwenyekiti |
Uchaguzi haujafanyika |
|
2.
M/Mwenyekiti |
Mhe. Kange Lugola |
||
|
3 |
Bajeti |
1.
Mwenyekiti |
Mhe. Hawa Abdulrahman
Ghasia |
|
2.
M/Mwenyekiti |
Mhe. Josephat Sinkamba
Kandege |
||
|
4 |
Masuala ya Ukimwi |
1.
Mwenyekiti |
Mhe. Hasna Mwilima |
|
2.
M/Mwenyekiti |
Mhe. John Constantine
J. Kanyasu |
||
|
5 |
Sheria Ndogo |
1.
Mwenyekiti |
Mhe. Andrew Chenge |
|
2.
M/Mwenyekiti |
Mhe. William Ngeleja |
||
|
6 |
Uwezekaji wa Mitaji ya
Umma (PIC) |
1.
Mwenyekiti |
Mhe. Richard Ndasa |
|
2.
M/Mwenyekiti |
Mhe. Lolencia Bukwimba |
||
|
7 |
Viwanda, Biashara na
Mazingira |
1.
Mwenyekiti |
Uchaguzi haujafanyika |
|
2.
M/Mwenyekiti |
Uchaguzi haujafanyika |
||
|
8 |
Katiba na Sheria |
1.
Mwenyekiti |
Mhe. Mohamed Omary
Mchengerwa |
|
2.
M/Mwenyekiti |
Mhe. Najima Murtaza
Giga |
||
|
9 |
Mambo ya Nje, Ulinzi
na Usalama |
1.
Mwenyekiti |
Mhe. Balozi Adadi
Rajabu |
|
2.
M/Mwenyekiti |
Mhe. Masoud A. Khamisi |
||
|
10 |
Utawala na Serikali za
Mitaa |
1.
Mwenyekiti |
Mhe. Jasson Rweikiza |
|
2.
M/Mwenyekiti |
Mhe. Dr. Pudensiana
Kikwembe |
||
|
NA |
KAMATI |
NAFASI |
JINA |
|
11. |
Huduma na Maendeleo ya Jamii |
1.
Mwenyekiti |
Mhe. Peter Joseph
Serukamba |
|
2.
M/Mwenyekiti |
Mhe. Raphael Masunga
Chegeni |
||
|
12. |
Ardhi, maliasili na
Utalii |
1.
Mwenyekiti |
Mhe. Dr. Mary M. Mwanjelwa |
|
2.
M/Mwenyekiti |
Mhe. Sixtus Mapunda |
||
|
13. |
Kilimo, Mifugo na Maji |
1.
Mwenyekiti |
Mhe. Mary Nagu |
|
2.
M/Mwenyekiti |
Mhe. Dr. Christine
Ishengoma |
||
|
14. |
Miundombinu |
1.
Mwenyekiti |
Mhe. Prof. Norman
Adamson Sigara |
|
2.
M/Mwenyekiti |
Mhe. Moshi Suleiman
Kakoso |
||
|
15. |
Nishati na Madini |
1.
Mwenyekiti |
Mhe. Martha Mlata |
|
2.
M/Mwenyekiti |
Mhe. Ussi Pondeza |
||
|
16. |
Haki, Maadili na
Madaraka ya Bunge |
1.
Mwenyekiti |
Uchaguzi haujafanyika |
|
2.
M/Mwenyekiti |
Uchaguzi haujafanyika |