United Republic of Tanzania
Parliament of Tanzania
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini yapongeza Serikali kwa kuwapatia vifaa vya kisasa GST kwaajili ya kufanya utafiti wa madini nchini.
Pongezi hizo zilisemwa na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo kwa niaba ya Mwenyekiti Mhe. Judith Kapinga alipokuwa anaongea na waandishi wa habari mara baada ya kukagua utekelezaji wa majukumu ya GST.
"kwakweli naipongeza Serikali kwa juhudi zinazofanywa kuwekeza katika taasisi zetu za GST"
Pia alisema Kamati imeishauri GST kuweka vifaa vya usalama (camera) baada ya kubaini kutokuwepo vifaa hivyo ambapo GST iliwahakikishia kuwa jambo hilo lipo kwenye mchakato