Parliament of Tanzania

News & Events

15th Mar 2022

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) katika ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Mji Mafinga Mkoani Iringa

14th Mar 2022

Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Mwigulu Nchemba akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2022/23 mbele ya Waheshimiwa Wabunge katika Ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma

11th Feb 2022

Mbunge wa Ilala, Mhe. Mussa Azan Zungu akiapa mara baada ya kuwa kuwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

01st Feb 2022

Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson akila kiapo cha uaminifu mbele ya Waheshimiwa Wabunge mara baada ya kuchaguliwa kwa kura zote 376 za Wabunge waliokuwa Bungeni kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

31st Jan 2022

Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma kuhusu kukamilika kwa zoezi la uteuzi na utaratibu wa Uchaguzi wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Ms. Nenelwa J. Mwihambi

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's