United Republic of Tanzania
Parliament of Tanzania
19th Apr 2023
Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa George B. Simbachawene (Mb).
14th Apr 2023
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa Angellah Jasmine Kairuki (Mb), akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa Fedha wa 2023/24
05th Apr 2023
Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2023/2024.
04th Apr 2023
Bunge limewachagua Mheshimiwa Najma Murtaza Giga, Mheshimiwa Daniel Baran Sillo na Mheshimiwa David Mwakiposa Kihenzile kuwa Wenyeviti wa Bunge
13th Mar 2023
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasilisha Mapendekezo ya Mpango na Kiwango cha Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 mbele ya Wabunge wote katika Ukumbi wa Msekwa Bunge Jijini Dodoma.