United Republic of Tanzania
Parliament of Tanzania
18th Apr 2016
Mtaalam wa Majengo toka TBA akimuelezea Naibu Spika jinsi ukarabati wa ukumbi wa Bunge ulivyofanyika.
12th Apr 2016
Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson akimkabidhi hundi kifani ya shilingi bilioni 6, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.
06th Apr 2016
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango akiwasilisha Mapendekezo ya Kiwango na Ukomo wa Bajeti kwa Mwaka 2016/17