Parliament of Tanzania

News & Events

21st Apr 2016

Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akipokea msaada wa vifaa vya zahanati ya Bunge toka kwa Mkurugenzi wa Jaffery Ind. Sainiz Funiture Bw. Vishal Singh Saini.

20th Apr 2016

Spika wa Bunge akiongoza kikao cha Kamati ya Bajeti na Kamati ya Uongozi

18th Apr 2016

Mtaalam wa Majengo toka TBA akimuelezea Naibu Spika jinsi ukarabati wa ukumbi wa Bunge ulivyofanyika.

18th Apr 2016

Spika wa Bunge akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi

12th Apr 2016

Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson akimkabidhi hundi kifani ya shilingi bilioni 6, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.

Ms. Nenelwa J. Mwihambi

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's