United Republic of Tanzania
Parliament of Tanzania
29th Aug 2016
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa(LAAC) Mhe Vedasto Ngombale akisisitiza jambo kwenye kikao cha Kamati hiyo mjini Dodoma
13th Jul 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mpango wa ugawaji wa Madawati yaliyotengezwa na Ofisi ya Bunge.
12th Jul 2016
Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akizungumza na Uongozi wa Baraza la Wawakilishi Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam
30th Jun 2016
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva akikabidhi ripoti ya Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 kwa Naibu Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson Bungeni Mjini Dodoma.
25th Jun 2016
Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akishiriki Kampeni ya kuosha Magari kwa ajili ya kuchangia Waandishi wa Habari kupata Bima ya Afya iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
Hon. Shabani Hamisi Taletale
Morogoro Kusini Mashariki (CCM)