Parliament of Tanzania

News & Events

28th Jul 2021

Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihambi, ndc akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakurugenzi na Wakurugenzi Wasaidizi wa Ofisi ya Bunge yanayotolewa na Taasisi ya Uongozi, Mafunzo hayo yanafanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar, kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi, Kadari Singo

26th Jul 2021

Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Bunge, Bi. Nenelwa Mwihambi ambaye pia ni Katibu wa Bunge akiongoza Kikao cha Baraza hilo katika Ofisi Ndogo za Bunge Zanzibar.

02nd Jul 2021

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha mkutano wa 3 wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bungeni jijini Dodoma, Juni 30, 2021.

22nd Jun 2021

Waheshimiwa Wabunge wakimfuatilia Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba wakati akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2021/2022

18th Jun 2021

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasili katika Ukumbi wa Bunge kusoma Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22.

Ms. Nenelwa J. Mwihambi

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Member of the Parliament

View All MP's