United Republic of Tanzania
Parliament of Tanzania
13th Jun 2017
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza wakati wa kupokea ripoti ya Kamati maalum ya kuchunguza masuala ya kisheria na kiuchumi kuhusiana na mchanga wa Madini unaosafirishwa nje ya nchi, Ikulu Jijini Dar es Salaam
09th Jun 2017
Waziri wa Fedha Dkt Philip Mpango akionesha mkoba wenye Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2017/2018 kabla ya kuingia Bungeni kwa ajili ya kusoma hotuba ya Bajeti hiyo.
24th May 2017
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (wa pili kushoto) akisikiliza maelezo kuhusu Bunge la Kenya linavyofanya kazi kutoka kwa Spika wa Bunge hilo Mhe Justin Muturi.Mhe Ndugai yuko katika ziara ya kibunge nchini Kenya kwa mwaliko Bunge la Kenya ambapo amembatana na wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Bunge, Mhe Mary Chatanda, Mhe Salim Turky na Mhe Mch.Peter Msigwa.
11th May 2017
Waheshimiwa Wabunge wakiwa Bungeni wakiendelea na Mkutano wa Bunge la Bajeti