United Republic of Tanzania
Parliament of Tanzania
29th Aug 2023
Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu (Mb), akifungua kwa niaba ya Spika wa Bunge Mkutano wa vikao vya Jukwaa la Kibunge la Nchi za Maziwa Makuu Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam.
16th Aug 2023
Kamati za Kudumu za Buge zimeanza kukutana Jijini Dodoma kabla ya Mkutano wa Kumi na Mbili wa Bunge unaotarajiwa kuanza tarehe 29 Agosti, 2023.
01st Aug 2023
Watumishi wa Bunge wamewasili Mkoa wa Lindi tarehe 31 Julai na kupokelewa na ofisi ya RAS Mkoani humo, kwaajili ya kutoa elimu kwa umma kuhusu Masuala ya Bunge kwa shule za Msingi na Sekondari.
19th Jul 2023
Umoja wa Afrika umeridhia kumuunga mkono Spika wa Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (Mb) kuwa Mgombea pekee kutoka Bara la Afrika wa nafasi ya Urais wa Jumuiya ya Mabunge Duniani