Parliament of Tanzania

Hon. Job Y. Ndugai

Speaker of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Stephen Kagaigai

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Spika wa Bunge na Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Ofisi ya Bunge Mhe. Job Ndugai (Mb) akiongoza kikao cha Tume hiyo Ofisini kwake Jijini Dodoma Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, akizindua Mfumo wa uendeshaji Bunge kidigitali, Bungeni Jijini Dodoma,kushoto ni Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai na wa pili kulia ni Naibu Spika Mhe. Dkt. Tulia Ackson.  Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Waheshimiwa Wabunge kabla ya uzinduzi wa “Bunge Mobile Application” katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.Waliokaa mbele ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa (wa pili kulia)....... Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (Kulia) akizungumza na aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu) ), Ndg. Maimuna Tarishi alipomtembelea Ofisini kwake kwa lengo la kumuaga na Kumshukuru kwa ushirikiano aliompatia kwa kipindi Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiongoza Wajumbe wa Tume ya Utumishi Ofisi ya Bunge ukaguzi wa jengo la Utawala la Bunge ambapo walikagua uwekaji wa lifti, ujenzi wa paa na ujenzi wa mihimili ya jengo la ghorofa la tano  katika Ofisi za Bunge Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akipokea ujumbe maalum kutoka kwa Balozi wa Pakistan nchini Tanzania, Mhe. Amir Muhammad Khan alipomtembelea  Ofisini kwake Bunge Jijini Dodoma. Ujumbe huo ameuwasilisha kwa niaba ya Spika wa Bunge la Pakistan.

BUNGE LAAHIRISHWA HADI NOVEMBA 5, 2019

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akitoka ndani ya Ukumbi wa Bunge mara baada ya kuahirisha Bunge hadi Novemba 5, mwaka huu.

Naibu Spika akutana na kuzungumza na Spika wa Jimb ...

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson akipokea zawadi kutoka kwa Sp ...

Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimb ...

Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Na. 6 wa Mwaka 2019 (The W ...

Mkutano wa Kumi na Sita wa Bunge waanza Jijini Dod ...

Waheshimiwa Wabunge wakiwa wamesimama kwa ajli ya Dua kabla ya kuanza kwa kikao ...

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 6), Bill, 2019 First reading Download
The e-Government Bill, 2019 Passed Download
[The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No.4), Bill, 2019 Passed Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No.5), Bill, 2019 First reading Download
The Finance Act, 2019 First reading Download
Details Options
Click Here for More What's On
Hotuba ya Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Philip I. Mpango (Mb), akiwasilisha Bungeni Mapendekezoya serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2019/20 Download
Maelezo ya Mhe. Dkt. Philip I. Mpango (Mb) akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa, Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2019/20. Download
Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali pamoja na Mwongozo wa kuandaa Mpango wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020. Download
Hotuba ya Mheshimiwa Kassim M. Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa kuahirisha Mkutano wa Kumi na Mbili wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tarehe 14 Septemba, 2018. Download
Hotuba ya Mheshimiwa Kassim M. Majaliwa (Mb.), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati wa kuahirisha Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tarehe 29 Juni, 2018 Download

Education And Outreach

EDUCATION