ASK THE SPEAKER
GIF

Hon.Samuel Sitta(MP)
Online interactive forum with the SPEAKER
QUOTES FROM THE SPEAKER
" One of the core duties of the Legislature is to oversee the functions of the Government in power and advise it appropriately whenever any pertinent issue of national interest arises. "
5th March 2009 - Dar es Salaam.
INVITATION FOR TENDERS
Tender for the Financial year 2010/2011
Read more
RESOURCES LINKS

Parliamentary Resources
National Website
Prime Minister's Office website
National Electoral Commission website
Africa4All project

WEBMAIL LOGIN


NEWSLETTER
Subscribe to our e-newsletter and be the first to know about new activities, events and resources.
Your email
GLOSSARY
Order Paper
is document published daily when the session is in progress, listing business in the House
General election
In a general election the adult population of the TANZANIA chooses a candidate to represent each constituency in the House. Every MP has to stand for re-election. They are usually held every five years.
Read more
VISITORS TO THIS SITE
There have been 30571739 visitors to this websiteThere have been 30571739 visitors to this websiteThere have been 30571739 visitors to this websiteThere have been 30571739 visitors to this websiteThere have been 30571739 visitors to this websiteThere have been 30571739 visitors to this websiteThere have been 30571739 visitors to this websiteThere have been 30571739 visitors to this website
User online : 12
Home »Supplementary Question
Supplementary Question
  email E-mail this to a friend email Printable version
Ole-Sendeka, Christopher Olonyokie[CCM]

Simanjiro Constituency
Session No Question Number To the Ministry of Sector Date Asked
16 10 GOOD GOVERNANCE Corruption 10 June 2009
Mheshimiwa Spika, pamoja na majibu mazuri ya Waziri nina maswali madogo ya nyongeza:-

Kwa kuwa utashi wa kisiasa wa kupambana na vita dhidi ya rushwa unaweza pia kupimwa na hatua zinazochukuliwa dhidi ya wale ambao wamekuwa wakituhumiwa katika mchezo huu mchafu wa rushwa.


(a) Je, Serikali inasemaje kuhusu kuchukua hatua za haraka kuwafikisha Mahakamani wale wote ambao wamehusika kwa namna moja ama nyingine kwenye mikataba ambayo ina harufu ya rushwa ikiwemo ya Richmond, IPTL, EPA na mengine ambayo haiiweki nchi yetu katika sura nzuri katika uso wa dunia?

(b) Kwa kuwa kumekuwepo na dalili kwamba mikataba kama ya Madini na mikataba mbalimbali ambayo Serikali yetu imekuwa ikiingia baadaye ndiyo tunakuja kugundua kwamba kuna harufu ya rushwa katika mikataba hiyo:-

Je, ndiyo tuseme kwamba katika Taasisi muhimu kama BOT na katika kuingia mikataba hiyo Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa au PCCB haipo katika Benki Kuu kiasi kwamba inaweza kutokea ufisadi kama ule uliotokea? Pengine labda niweke vizuri swali hili Mheshimiwa Spika.

Pengine tunachukua hatua gani za kukinga badala ya kuhangaika kutibu ili tuiweke nchi yetu katika sura nzuri katika uso wa dunia?
ANSWERS TO SUPPLEMENTARY QUESTION #  10  SESSION #  16
Answer From Hon.Simba, Sophia Mattayo
GOOD GOVERNANCE
WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS (UTAWALA BORA):

Mheshimiwa Spika, namshukuru Mheshimiwa Ole-sendeka, kwa maswali yake na naomba nimjibu kama ifuatavyo:-

Kuhusu hatua zinazochukuliwa kuwafikisha Mahakamani wale wote waliohusika na kesi mbalimbali nadhani yeye anatambua kwamba Serikali inafutia kesi zote hizi kwa karibu sana lakini ufuatiliaji wa kesi mbalimbali za rushwa unaongozwa na Sheria ya rushwa ambayo inakataza kabisa kuzungumzia mwenendo wa uchunguzi wa kesi yoyote.

Kuzungumzia mwenendo wowote wa kesi kabla haijafika Mahakamani na hata ikifika Mahakamani ni kosa la jinai. Kwa hiyo, kwa hapa sitoweza kumpa majibu kwamba tumefikia wapi na kesi ya IPTL na EPA. EPA iko Mahakamani na yeye anatambua hiyo. Siwezi kuzungumzia Richmond hiyo iko katika hatua mbalimbali na kwa kiasi kikubwa anaelewa kwamba masuala ya Richmond yamekuwa kidogo yana utata kutokana na kwamba Richmond wenyewe katika mchakato mzima hawakupata hata senti Tano. Haijalipwa, kwa hiyo hakuna hata pesa ambayo imepita na kwenye rushwa lazima kuonyesha Consideration ambayo imetolewa katika parties ambazo zinahusikana na rushwa. Kwa hiyo, bado tuna kitendawili ambacho tunaendelea kukishughulikia na siwezi katika hatua hii kuzungumzia masuala haya.

Mheshimiwa Spika. Swali lake la pili anazungumzia mikakati kuhusu mikataba mbalimbali ambayo inaingiwa na Benki Kuu na vyombo vyetu vingine. Ni kweli sote tunafahamu kwamba, wenzetu ambao walipewa dhamana ya kuingia mikataba mbalimbali walikuwa hawana utaalamu wa kutosha na hivyo kutuingiza katika matatizo makubwa. Lakini Serikali inachukua kila hatua ya kuhakikisha kwamba matatizo haya ya kuingia kwenye mikataba ambayo haina manufaa na nchi yetu yanapewa Wataalamu ambao kwa sasa Serikali inafanya jitihada ya kutoa mafunzo ya kiutaalamu jinsi ya kuingia katika mikataba hii. Nashukuru.
  Records 1 to 1 of 17
Next Last

 

WHO IS WHO
Hon.Kilasi, Estherina Julio
bunge
Mbarali Constituency
Questions(8)
Supplementary Questions(22)
Contributions(46)
More Members »


POLIS DATABASE
polis
BUDGET 2010/11
Estimate of Public Expenditure Development votes and supply vote
SEARCH FOR MP
Region
Constituent
 
VIDEO /AUDIO CLIP
More Videos
PHOTO GALLERY
The President of the United Republic of Tanzania, Hon. Jakaya Mrisho Kikwete, on 21st August. 2008, addressed Parliament of Tanzania. Listening to his speech, on the right were Hon. Samuel Sitta, the Speaker of the National Assembly and the Vice President Dr. Shein.
More photos
CALENDAR OF EVENTS
 <<  < Sep 2010 >   >>
SMTWThFS
1234
5678
9
1011
12131415161718
19202122232425
2627282930

More events

Copyright © 2003-2008 Tanzania Parliament. All rights reserved.
Designed and published by DataVision International (T) Ltd
Terms of Use | Disclaimer