" One of the core duties of the Legislature is to oversee the functions of the Government in power and advise it appropriately whenever any pertinent issue of national interest arises. "
is the institution that runs the country. It is also known as the Executive. The Government formulates policy and introduces legislation in Parliament.
Government policy
This is a plan of action that the government proposes to take, eg, to ban smoking in all public places.
Mheshimiwa Spika, pamoja na jibu zuri la Mheshimiwa Naibu Waziri naomba kumwuliza swali moja la nyongeza:-
Je, kwa sababu tendo hili limepita muda mrefu utendaji huu wa Jeshi la Polisi katika speed hii, haoni kuwa Jeshi la Polisi linatia aibu nchi yetu katika utendaji huu?
ANSWERS TO SUPPLEMENTARY QUESTION # 109
SESSION # 3
Answer From Hon.Mohamed, Mohamed Aboud
PUBLIC SECURITY AND SAFETY
NAIBU WAZIRI WA USALAMA WA RAIA:
Mheshimiwa Spika, naomba kumjibu Mheshimiwa Mbunge swali lake la nyongeza kama ifuatavyo:-
Mheshimiwa Spika, si kwamba Jeshi la Polisi linatia aibu, ni kwa sababu ya kutafuta haki ili tuwajue wahusika na tuwashughulikie kwa mujibu wa sheria na kwa sababu mazingira yenyewe yalikuwa na utata sana lazima ulipe muda mzuri lifanye uchunguzi vizuri wa kina ili haki itendeke.