Parliament of Tanzania

Hon. Job Y. Ndugai

Speaker of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Dr. Thomas D. Kashililah

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai katika picha ya pamoja na Watumishi Wabunge wanaofanya kazi katika Ofisi ya Bunge-Kurugenzi ya Zanzibar. Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Watumishi Wabunge  wanaofanya kazi katika Ofisi ya Bunge-Kurugenzi ya Zanzibar. Mkurugenzi Mkaazi wa Ofisi ya Bunge Zanzibar Ramadhan I. Abdallah akimuelezea jambo Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai wakati alipotembelea Ofisi hizo. Wa kwanza kulia ni Naibu Katibu wa Bunge-Utawala Raphael Nombo Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai akisalimiana  na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid (katikati)  alipowasili katika Ofisi za Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Kushoto ni Naibu Spika wa Baraza hilo Mhe Mgeni Hassan Juma. Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (wa tatu toka kulia) akifuatilia kikao cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakati alipowatembelea. Wapili kulia ni Spika wa Baraza hilo Mhe Zuberi Ali Maulid na wa kwanza kulia ni Naibu Spika wa Baraza hilo Mhe Mgeni Hassan. Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiwasili Mjini  Zanzibar kwa kutumia Boti wakati alipofanya ziara ya kutembelea Baraza la Wawakilishi.

Mhe Spika aahidi kudumisha uhusiano na Baraza la Wawakilishi

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (kulia) akizungumza na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid (katikati) na Naibu Spika wa Baraza hilo Mhe Mgeni Hassan Juma wakati alipowatembelea.

Spika awaasa Mawaziri na Wabunge kuzingatia Mahudh ...

Waheshimiwa Wabunge wakiimba Wimbo wa Taifa kabla ya kuahirishwa kwa Mkutano wa ...

Spika akabidhiwa Kitambulisho cha Taifa

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (Mb) akipokea Kitambulisho cha Taifa kutoka kwa Wa ...

Wabunge wawachangia waathirika wa Tetemeko la Ardh ...

Waheshimiwa Wabunge wakiwa wamesimama kwa dakika moja ili kuwakumbuka Marehemu w ...

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
The Media Services Bill, 2016 First reading Download
The Written Laws Miscellaneous Amendments) (No.3) Bill, 2016 First reading Download
The Tanzania Fisheries Research Institute Bill, 2016 Passed Download
The Tanzania Agricultural Research Institute Bill, 2016 Passed Download
The Access to Information Bill, 2016 Passed Download
Details Options
Click Here for More What's On
Hotuba ya Mhe. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akihitimisha Mkutano wa Nne wa Bunge la Kumi na Moja tarehe 16 Septemba, 2016 Download
Hotuba ya Waziri wa Fedha na Mipango juu ya Mapendekezo ya Serikali kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha kwa Mwaka 2016/2017 Download
Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa Mwaka 2015 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2016/17. Download
Maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kuhusu Utekelezaji wa Mpango wa Kwanza wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2011/2012 - 2015/2016 na Mwelekeo wa Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa kwa Kipindi cha Mwaka 2016/2017 - 2020/2021 Download
Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge kuhusu Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (2016/2017 - 2020/2021) Download

Education And Outreach

EDUCATION